Saturday, October 1, 2016

LEO SIMBA HAMWACHII FISI MIFUPA...!


Atatafuna mwenyewe. Ana meno makali!
Na mwenyekiti wenu sitabeba mkoba wa kufichia jezi nikitoka uwanjani. Simba tunashinda leo. Basi.
Goodmorning Dar Young Africans!
Maggid

No comments:

Post a Comment