Sunday, October 2, 2016

Kama Diamond Platnumz atauza account yake Instagram, hii ndio pesa atakayouzia

Katika list ya mastaa wakubwa kutoka bongoflevani wenye mafanikio makubwa kwa sasa hivi huwezi kuacha kumtaja Diamond Platnumz na pia ni mmoja kati ya mastaa wenyefollowers wengi kwenye mitandao ya kijamii haswa mtandao wa Instagram ambapo staa huyu anafollowers Mil.2.8 sasa hivi.

xd
Septeber 30 2016 Diamond Platnumz amefanya interview na Clouds Tv kwenye kipindi cha de weekend chat show ambapo amefunguka ikiwa leo hii ataambiwa auze account yake ya Instagram hii ndio bei alioitaja, unaweza kuitazama video nimekuwekea hapo chini…
>>>”labda Naweza kuiuza kwenye Dolla Million Mbili hivi’ –Diamond Platnumz



No comments:

Post a Comment