Sunday, October 16, 2016

MICHEZO List ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika na Samatta

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta October 15 2016 amepokea good news iliyotangazwa na shirikisho la soka Afrika CAF, good news ya Samattailiyopokelewa na watanzania ni kutokana na kutajwa katika list ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2016.

Mtanzania Mbwana Samatta ambaye ni mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2015 kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani ya Afrika, safari hii amepata nafasi ya kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa ujumla kwa mara ya kwanza akiichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.
screenshot_20161015-170432
List ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika

screenshot_20161015-170531
List ya majina 25 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika.

No comments:

Post a Comment