Saturday, October 15, 2016

Goli la Jordan Henderson lililoshinda tuzo ya goli bora la mwezi EPL

Good news kwa kiungo wa kimataifa wa England ambaye anaichezea Liverpool Jordan Henderson zinazidi kuongezeka, ikiwa ni siku chache zimepita toka avae kitambaa cha unahodha wa timu ya taifa ya England kwa mara ya kwanza katika mchezo kati yaEngland dhidi ya Slovenia, October 14 2016 amepokea good news nyingine.

Jordan Henderson amepokea tuzo ya goli bora la mwezi EPL alilofunga katika mchezo dhidi ya ChelseaHenderson ameshinda tuzo hiyo wakati kocha wake Jurgen Kloppakipewa tuzo ya kocha bora wa mwezi na mshambuliaji wa Korea Kusini anayeichezeaTottenham Hotspurs Son Heung-min akipewa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi.

No comments:

Post a Comment