Tuesday, November 1, 2016

Rapper Mabeste amefunga ndoa

Msanii wa Bongofleva William Ngowi ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la Mabesteameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu na mzazi mwenzake Liser FickensherMabeste amefunga ndoa mpenzi wake huyo ambaye pia ni mama wa mtoto wake Kendrick.

sv1
Kupitia katika instagrama account yake ya @mabeste_tanzania na instagram account ya mkewe @lisa_fickenscher wawili hao leo October 31 wameshea picha za harusi yao pamoja na picha wakiwa kanisani wakati wa kufunga ndoa.
sv3
M

No comments:

Post a Comment