Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts

Tuesday, March 6, 2018

Job Opportunity at UONGOZI Institute, Trainer

Trainer

Location
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam
Description
Industry: NGO
Minimum Qualification: Masters
Minimum Experience: 5 years

Through our training programmes, leaders acquire the skills and knowledge to understand the complex world of choices, to make sound and strategic decisions that can envision the future and to enhance their personal leadership qualities. The training solutions are both inspiring and empowering, delivered by national, regional and international experts using the best mix of learning methodologies for adult learning.

Tuesday, May 16, 2017

JACK Wolper “Kwenye Maisha Yangu Sijawahi Kuachwa, Sina Kabisa Record Hiyo"

Msanii wa filamu Jacqueline Wolper amefunguka kuizungumzia ishu ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Harmonize.

Muigizaji huyo amedai hana msongo wa mawazo kutokana na tukio hilo huku akidai hajaachwa kama baadhi ya watu kwenye mitandao wanavyodai.

Friday, January 6, 2017

Huyu Ndio Msanii wa Kwanza Kusainiwa Kwenye Lebo ya Alikiba


Ni Abby Skillz aliyerudi rasmi kwenye muziki kwa wimbo wake Averina akiwa na Mr Blue pamoja na Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii wa kwanza kusaini mkataba chini ya 'Label' ya msanii Alikiba inayofahamika kama 'Kings Music'.

Sunday, November 13, 2016

Hotuba ya Waziri Mkuu ya kuahirisha mkutano wa tano wa Bunge la 11 Novemba 11

1. Mheshimiwa Spika, awali ya yote, naomba kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda na kutufikisha salama siku ya leo tunapohitimisha Mkutano wa Tano wa Bunge lako Tukufu tuliouanza tarehe 1 Novemba, 2016.

Sunday, November 6, 2016

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Novemba 6

Bunge Lapitisha Rasmi Muswada Wa Sheria Ya Huduma Za Habari Wa 2016


Na Jacquiline Mrisho na Eleuteri Mangi – MAELEZO, Dodoma.
Mkutano wa Tano wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 ambapo hatua inayofuata ni kuridhiwa na kusainiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili uwe Sheria kamili ya nchi.

Bunge Lapitisha Rasmi Muswada Wa Sheria Ya Huduma Za Habari Wa 2016


Na Jacquiline Mrisho na Eleuteri Mangi – MAELEZO, Dodoma.
Mkutano wa Tano wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 ambapo hatua inayofuata ni kuridhiwa na kusainiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili uwe Sheria kamili ya nchi.

Friday, November 4, 2016

Magazeti ya Tanzania November 4, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo

November 4 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,UdakuHardnews na Michezo ili uje kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, Twitter na Instagram @jom_thefuture ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia

Tazama Video ya undani wa Msichana huyu Aliyebakwa Hadi Kufa – Makumira University

Mapema juzi zimesambaa Picha kwenye Mitandao ya kijamii ikimuonyesha Msichana anayefahamika kwa jina la JULIANA ISAWAFO Ambaye Amebakwa hadi Kufa na Kutupwa Nje ya eneo la Chuo Kikuu cha Tumaini (Makumira Arusha).

Walimu Watatu Watiwa Mbaroni Kwa Kuwazuia Wanafunzi Kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne


POLISI mkoani Dodoma inawashikilia walimu watatu wa shule za sekondari kwa tuhuma ya kuwazuia wanafunzi wa kidato cha nne, kufanya Mtihani wa Taifa.