Tuesday, November 8, 2016

Anachokijua kocha Lwandamina kuhusu soka la bongo

Taarifa kutoka katika mitandao ya Zambia leo November 8 2016 ni kuhusiana na aliyekuwa kocha mkuu wa Zesco United George Lwandamina kujiuzulu nafasi hiyo ambapo mkataba wake ungemalizika January 2017, kitendo hicho kinadaiwa ni dalilia za kujiunga na Yanga.

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Lwandamina alikuwa Dar es Salaam October 24 2016 na alikubali kufanya exclusive interview na Amplifaya na kusema kuwa amekuja Tanzania kwa shughuli zake binafsi hususani kwa ajili ya matumizi ya bandari ya Dar es Salaam, lakini anajua nini kuhusu soka la bongo?
“Nilikuwa hapa mwaka 2014 na Zesco tulikuwa tumepata mualiko kuja kucheza mechi ya kirafiki na Simba, sina kumbukumbu vizuri Simba walikuwa waadhimisha siku gani, lakini tuliwafunga kutokana na kuwa tulipata sapoti ya mashabiki wa Yanga na ndio nikajua kuwa kuna upinzani mkubwa kati yao”
ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

1 comment:

  1. Iron Titanium - The Best Iron Tithlon - The Tipanium Art
    Iron Titanium - titanium connecting rod The Best Iron Tithlon titanium nose rings - The Best titanium dioxide Iron Tithlon. Product Description. Iron Tithlon - The Best Iron Tithlon. Additional Details. Product Description. Iron Tithlon - titanium build The Best Iron Tithlon. Product 출장마사지

    ReplyDelete