Monday, October 17, 2016

Jackline wolper kuhusu wanaosema ana mimba ya miezi mitatu…

Ni October 17 2016 ambapo msanii kutoka kwenye tasnia ya Filamu Jackline Wolper  aliingia kwenye kikaango cha mashabiki wake baada ya kupost picha ikionesha ana ujauzito huku wengi wakiwa na maswali tofauti.
sdew21
Sasa basi staa huyo aliamua kuyaandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema>>Hatimaye nikakavua kale kAmkanda nakukatua kaa mkanda kametengeneza mimba yamiezi mitatu wakti ndo kwanza mwezi 🤒🤒🤒Mkanda leo ndo mwisho wako tena nakuacha huku huku china ndege aupandi bhana’

UL

No comments:

Post a Comment