Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu (watatu kulia) akiwaongoza maofisa na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi kufanya mazoezi ya viungo mara baada ya kumaliza matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano mahala pakazi katika mkoa wa kipolisi wa Kindondoni mapema leo asubuhi. (Picha zote na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu (wapili kushoto) akiwaongoza maofisa na askari wa vyeo mbalimbali wa jeshi la Polisi wakati wa matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano mahala pakazi katika mkoa wa kipolisi kinondoni mapema leo asubuhi. Kushoto kwake ni kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Suzan Kaganda.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu, akiwaongoza maofisa na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi katika matembezi ya pamoja ambayo yalianzia katika kituo kikuu cha Polisi Oysterbay na kupita maeneo ya kwa Msasani kwa Mwalimu Nyerere na baadae kuingia barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment