Friday, October 14, 2016

TOP10: Wachezaji wanaoongoza kwa mauzo ya jezi England msimu wa 2016/2017


List ya mastaa 10 wa soka wa Ligi Kuu England ambao wanaongoza katika list ya mastaa wa EPL wanofanya vizuri katika mauzo ya jezi, list hiyo imeongozwa na kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Man United Paul Pogba ambaye ndio mchezaji ghali zaidi duniani.

Mastaa wengine waliofanikiwa kuingia katika list hiyo ni Zlatan Ibrahimovic ambaye alijiunga na Man United kama mchezaji huru akitokea klabu ya Paris Saint Germain yaUfaransa.
1- Paul Pogba – Man United
2- Zlatan Ibrahimovic Man United
3- Alex Sanchez- Arsenal
4-Mesut Ozil – Arsenal
5- Coutinho – Liverpool
6- David de Gea – Man United
7- Sadio Mane – Liverpool
8- Dimitri Payet-West Ham United
9- Eden Hazard – Chelsea
10 – Marcus Rashford – Man United

No comments:

Post a Comment