Monday, October 31, 2016

Rais Magufuli kufanya ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Kenya Kuanzia Kesho


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 31 Oktoba, 2016 ataanza ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Kenya kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta.

Sunday, October 30, 2016

Magoli 17 yaliofungwa katika mechi za Liverpool, Man City, Arsenal na Tottenham Oct 29

Ligi Kuu England imepigwa leo michezo 7 katika ardhi ya England, tumeshuhudia baadhi ya timu zikichukua point zao tatu, wakati Man United wakiwa katika uwanja wao wa Old Trafford wameshinda kupata matokeo dhidi ya Burnley na kulazimishwa suluhu ya 0-0.

MUHIMU: HAYA HAPA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO CHUO KIKUU UDOM 2016/2017

Inatakiwa uangalie kwa umakini maana Kuna Sheets 8 za Excel ..
CONTROL, CES..COED..CHS
CHSS..CBL..CIVE...CNMS
KUTAZAMA MAJINA  YOTE
>>>>BONYEZA HAPA<<<<

Saturday, October 29, 2016

Mr Blue Ataja Jina Analotumia Baada ya ‘Simba’ Kupokonywa

Mr Blue amelitaja jina lake jipya analolitumia baada ya lile la ‘Simba’ kuchukuliwa na Diamond Platnumz.

AZAM FC... TUTAPELEKA MAUMIVU TENA LEO KWA KAGERA SUGAR,POINTI TATU MUHIMU KWETU

Image result for Azam FC
Na.jom_thefuture
Timu ya Azam FC inatarajia kutupa karata yake ya kwanza muhimu kwa kucheza na Kagera Sugar Leo mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara utakaopigwa uwanja wa Kaitaba huku Kocha Mkuu Zeben Hernandez ametamba kuwa watakuwa na kazi moja tu ya kusaka alama tatu katika kipute hicho.

Sumaye: Sirudi CCM hata waninyang’anye Mashamba Yangu Yote


Siku moja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kutangaza nia ya Serikali kumnyang’anya shamba Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, mwanasiasa huyo mkongwe amedai hilo halimtikisi.

Thursday, October 27, 2016

Mourinho kalipa kisasi kwa Guardiola

September 10 2016 ilikuwa siku ya kihistoria kwa makocha waliokuwa na upinzani tokea wakiwa katika Ligi Kuu Hispania Jose Mourinho na Pep Guardiola, wakati huo walikuwa wanakutana kwa mara ya kwanza wakiwa wanafundisha vilabu pinzani vya Ligi Kuu England Man United na Man City.

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Bodi Ya Mikopo Ya Wanafunzi Wa Elimu Ya Juu


Baada ya kukamilisha zoezi la Uchambuzi wa maombi ya Mikopo88,163 yaliyopokelewa hadi kufikia tarehe 11 Agosti, 2016. Jumla ya Wanafunzi wapya 20,183 wamepangiwa Mikopo. Upangaji huu umezingatia vigezo vilivyomo katika mwongozo wa  utoaji wa mikopo uliopitishwa na Bodi ya wakurgezi na kuidhinishwa na wizaya ya elimu sayannsi na teknoloji. Vigezo hivyo ni pamoja na:

Tuesday, October 25, 2016

Huyu ndio CEO wa Yanga kutoka Ufaransa

Ukiachana na headlines za uongozi wa klabu ya Yanga kudaiwa kumleta kocha mpya katika klabu hiyo George Lwandamina kutoka Zesco United ya Zambia taarifa mpya zimetoka Yanga wamemteua mfaransa Jerome Dufourg kuwa afisa mtendaji mkuu wao(CEO).

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Octoba 25

Sunday, October 23, 2016

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu aongoza matembezi ya pamoja ya maofisa na askari wa vyeo mbalimbali

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu (watatu kulia) akiwaongoza maofisa na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi kufanya mazoezi ya viungo mara baada ya kumaliza matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano mahala pakazi katika mkoa wa kipolisi wa Kindondoni mapema leo asubuhi. (Picha zote na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi)

Saturday, October 22, 2016

Alichosema Rais Magufuli kuhusu mikopo ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema Serikali imetenga Shilingi Bilioni 483 kwa mwaka huu kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu ambapo wanafunzi zaidi ya 118,000 watanufaika.

Thursday, October 20, 2016

Scorpion afunguliwa mashtaka upya

Seebait.com 2016SeeBait

Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemfungulia mashtaka mapya Salum Njwete (Scorpion).Amefunguliwa mashtaka mengine yanayofanana na ya awali ya unyang’anyanyi wa kutumia silaha.

Wednesday, October 19, 2016

Wanafunzi UDSM Waitupia Lawama Bodi ya Mikopo


Mwisho mwa wiki iliyopita wizara ya elimu ilitangaza majina ya wanafunzi watakaopata mikopo na vigezo vilivyotumika ikiwemo wanafunzi waliosoma masomo ya sayansi, walemavu, yatima, pamoja na ufaulu wa waombaji huku vigezo hivyo vikiwaacha nje wanafunzi wanaochukua masomo ya sanaa.

Ushindi mnono wa Real Madrid katika michuano ya UEFA Champions League

Burudani ya michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 18 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi round ya tatu, moja kati ya michezo iliyoshuhudiwa ikimalizika kwa idadi kubwa ya magoli ni mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Legia Warszawa mchezo uliochezwa katika dimba la Santiago Bernabeu.

Taarifa Muhimu: Serikali Yatangaza UHAKIKI wa Wanafunzi Wote Walioko Vyuo Vikuu Ambao Wanasoma Shahada


Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inawatangazia Viongozi wa vyuo vyote vinavyotoa shahada nchini vya umma na vya binafsi kuwa kutakuwa na uhakiki wa ubora wa vyuo hivyo.   

Tuesday, October 18, 2016

Jurgen Klopp kashindwa kuendeleza ubabe wake kwa Jose Mourinho

Kwa zaidi ya wiki sasa presha ya mchezo wa Ligi Kuu England kati ya Man United dhidi ya Liverpool ilikuwa ikitawala kwa mashabiki wa soka duniani kote, usiku wa October 17 katika dimba la Anfield ndio ilikuwa siku ya kumaliza ubishi wa mchezo huo, Liverpoolwaliwakaribisha Man United kucheza mchezo wao wa 193 katika historia.

Rais Magufuli aongoza mamia Ya Wananchi kumuaga Dk Masaburi


Rais John Magufuli leo ameongoza mamia ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kuuga mwili wa aliyekuwa meya wa jiji hilo, Dk Didas Masaburi aliyefariki Jumatano iliyopita na kusema Masaburi ana wake wanne au watano na watoto zaidi ya 20.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Asikitishwa Na Mwekezaji Kubadili Matumizi Ya Kiwanda Na Kukitelekeza

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Zambi kuhakikisha anadhibiti wafanyabiashara wanaonunua korosho kwa njia ya magendo na atakayekamatwa achukuliwe hatua.

Monday, October 17, 2016

Jackline wolper kuhusu wanaosema ana mimba ya miezi mitatu…

Ni October 17 2016 ambapo msanii kutoka kwenye tasnia ya Filamu Jackline Wolper  aliingia kwenye kikaango cha mashabiki wake baada ya kupost picha ikionesha ana ujauzito huku wengi wakiwa na maswali tofauti.

Bodi Ya Mikopo Yapitisha Majina 7904 Ya Wanafunzi Waliopata Mkopo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetangaza awamu ya kwanza ya majina ya wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu nchini watakaopewa mkopo kugharimia masomo yao.

Diamond na Harmonize Washinda tuzo za AFRIMMA2016....Orodha kamili ya washindi ipo hapa

Utoaji wa tuzo za AFRIMMA kwa mwaka 2016 umefanyika Dallas, Marekani huku watanzania watatu, Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D Ommy wakiibuka na tuzo kila mmoja akipata tuzo moja.

WAZIRI MKUU AAGIZA MAPATO YA HOSPITALI YA NACHINGWEA YAKUSANYWE KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea, Bw. Bakari Mohammed kuhakikisha hospitali ya wilaya hiyo inakusanya mapato kwa kutumia mfumo wa kielektroniki.

Sunday, October 16, 2016

MICHEZO List ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika na Samatta

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta October 15 2016 amepokea good news iliyotangazwa na shirikisho la soka Afrika CAF, good news ya Samattailiyopokelewa na watanzania ni kutokana na kutajwa katika list ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2016.

Assist ya Samatta imeinusuru KRC Genk na kipigo cha tano msimu huu

Baada ya watanzania kupokea good news ya nahodha wao wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta kuteuliwa katika list ya majina 30 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika 2016, nyota huyo usiku wa October 15 alishuka dimbani kuisaidia timu yake ya KRC Genk kuwania point tatu ugenini dhidi ya Mouscron.

Dr. Shein: Hatutakubali misaada yenye masharti

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein amesema serikali ipo madhubuti katika kupembua misaada ambayo wahisani mbalimbali wapo tayari na katika misaada ambayo itakuwa na masharti magumu kwa sasa serikali haipo tayari kuipokea kwa manufaa ya wananchi.

Makamu Wa Rais Samia:tunaendelea Kuziba Mianya Ya Rushwa/wafichueni Wafuja Fedha Za Serikali

MAKAMU wa rais ,Samia Suluhu Hassan,amewataka kuwafichua watumishi mbalimbali wa halmashauri na taasisi za serikali katika wilaya na mikoa wanaodhaniwa kufuja fedha za serikali na kupoteza mapato lengo ikiwa ni kuzikusanya fedha na kuzirudisha katika mikono ya wananchi waone faida yake.

Majina Ya Wanafunzi Waliopata Mkopo Mwaka Wa Masomo 2016/2017----(Awamu ya Kwanza)

 
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu wametangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo 2016/2017 awamu ya kwanza.

Hapa ni link ya kuangalia kama umepata au laah unaandika namba ya form 4 na code walizokupa hapo.

Saturday, October 15, 2016

BURUDANI AUDIO Mpya: Baada ya Pana… Hii ni mpya nyingine kutoka kwa Tekno Milles By David King TZA


Kama nilivyokuahidi kuhakikisha haupitwi na kitu chochote kizuri mtu wangu, nakusogezea hii nyingine. Wakati number one hit single Pana kutoka msanii Tekno Milles wa Nigeria ikiendelea kufanya vizuri kwenye chart mbalimbali za muziki, Star huyu ameamua kutowapa pumzi mashabiki wake baada ya kuachia single mpya iliyotayarishwa na maproducer wawili.

Goli la Jordan Henderson lililoshinda tuzo ya goli bora la mwezi EPL

Good news kwa kiungo wa kimataifa wa England ambaye anaichezea Liverpool Jordan Henderson zinazidi kuongezeka, ikiwa ni siku chache zimepita toka avae kitambaa cha unahodha wa timu ya taifa ya England kwa mara ya kwanza katika mchezo kati yaEngland dhidi ya Slovenia, October 14 2016 amepokea good news nyingine.

Mungu wa Kabili: Ali Kiba kuzimiwa microphone Mombasa ni ushirikina


msanii wa muziki wa Bongo Fleva, kuzimiwa kipaza sauti wakati aki perform jukwaani,hapa mjini Mombasa, limeusishwa na imani za kishirikina.

Miaka 17 Bila Nyerere: Mwinyi Asema Taifa Limepoteza Mwelekeo, Asikitishwa na Uwepo wa Panya Road


Wakati  Tanzania jana ikiadhimisha kumbukumbu ya miaka 17 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema Taifa limepoteza mwelekeo  kwani halina tena uadilifu aliotujengea Mwalimu Nyerere.

TCRA Yapiga Marufuku Uuzwaji wa Samsung Galaxy note 7 Hapa Nchini


MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku uingizaji na usambazaji wa simu za mkononi za Smartphone Samsung Galaxy note 7 kwa kuwa zina matatizo ya betri.

Friday, October 14, 2016

ULIMISS KUONA MCHANGO ALIOUTOA DIAMOND PLATINUMZ KWA KIJANA ALIYETOBOLEWA MACHO? TAZAMA HAPA




BURUDANI U HEARD: Ya Video queen wa Jike Shupa kuzaa na Juma Nature



 October 13, 2016 kupitia U Heard ya Clouds FM, mtangazaji Soudy Brown amepiga story na mrembo aliyeonekana kwenye Video ya star wa hit single ya Jike Shupa, Nuhu Mziwanda aitwaye Zena Abdallah ambaye ameeleza kuhusu mtoto wake ambaye inadaiwa alizaa na msanii Juma Nature.

Mkataba wa kihistoria wa Chelsea na Nike uliyoweka rekodi

 Klabu ya Chelsea yenye makao makuu yake London England leo October 13 2016 imeingia mkataba wa na kampuni ya vifaa vya michezo ya kimarekani Nike kwa ajili ya kuanza kuidhamini kuanzia msimu ujao, mkataba huo wa Chelsea na Nike umeweka rekodi ya kihistoria klabuni hapo.

TOP10: Wachezaji wanaoongoza kwa mauzo ya jezi England msimu wa 2016/2017


List ya mastaa 10 wa soka wa Ligi Kuu England ambao wanaongoza katika list ya mastaa wa EPL wanofanya vizuri katika mauzo ya jezi, list hiyo imeongozwa na kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Man United Paul Pogba ambaye ndio mchezaji ghali zaidi duniani.

Nauli za daladala kuanza kulipwa kielektroniki kuanzia mwakani ili kubaini mapato halisi katika sekta hiyo

Mamlaka  ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ukataji wa tiketi za mabasi na daladala kwa njia ya kielektroniki.

: Wachina wakamatwa Mtwara, wakutwa wakibadili Expire date kwenye dawa


Watu watano wakiwemo raia wawili wa China na Watanzania watatu wamekamatwa Mtwara kwa kutuhumiwa kubadili tarehe zilizokwisha muda wa matumizi kwenye dawa za kilimo (expire date) ili dawa hizo ziingizwe tena sokoni na kuonekana bado zinafaa kwa matumizi.

RC Arusha Mrisho Gambo Arejesha fedha zaidi ya shilingi milioni 1.3 alizokuwa amelipwa kwa ajili ya kuhudhuria kilele cha Mwenge.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli la kusitisha safari ya kwenda Mkoani Simiyu kwenye sherehe za kuhitimisha kilele cha mbio za mwenge wa Uhuru kwa kurejesha kiasi cha Jumla ya Shilingi 1,389,300.

Polisi Dar yaua majambazi wanne wanaodaiwa kuwaua askari wanne waliokuwa lindo Mbagala DSM mwezi Agosti, yakamata 'Panya Road' 10.

Kikosi Maalumu cha Kupambana na Ujambazi wa Kutumia Silaha cha Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kilifanikiwa kukamata watuhumiwa wanne wa ujambazi waliohusika katika mauaji ya askari polisi 4 katika benki ya CRDB iliyopo maeneo ya Mbande, Mbagala jijini Dar es Salaam.

Thursday, October 13, 2016

Chris Brown Hakuwa Kwenye Mood na Hakutaka Kuongea na Mtu – Vanessa Mdee


Mara nyingi wasanii wa nje wanapokuja kwenye show Afrika, hupenda kujichanganya na wasanii wanaotangulia kwenye show yake na kuchukua selfie na vitu kama hivyo. Lakini kwenye tamasha la Mombasa Rocks lililofanyika Oktaba 8 mjini Mombasa ambalo Chris Brown alitumbuiza, hakuna picha yeyote iliyoonekana akiwa na wasanii waliomsindikiza – Wizkid, Vanessa Mdee na Alikiba.

MAANDAMANO NCHINI COLOMBIA

Juan Manuel Santos
Rais wa Colombia Juan Manuel Santos(katikati) akiwa ameshika nakala ya makubaliano ya amani na Waasi wa FARC
Maelfu ya watu wanaandamana katika miji kadhaa nchini Colombia ili kushinikiza kuzingatiwa kwa makubaliano yaliyosainiwa na serikali na waasi wa FARC.
Huko Bogota familia za wahanga wa mgogoro kati ya waasi hao na serikali walipewa maua meupe kama ishara ya amani.

PAPA FRANCIS ASIHI USITISHWAJI VITA SYRIA MARA MOJA

Vatikanstaat Heiligsprechung Mutter Teresa durch Papst Franziskus (picture-alliance/AP Photo/A. Carconi)
Ndege za kivita za Urusi zimerejelea mashambulizi mazito ya angani katika ngome ya waasi Aleppo na kuua watu 25, miongoni mwao watoto 5. Papa Francis ataka usitishwaji vita ili raia na watoto waondolewe.

UVUMI KUHUSU KUFARIKI KWA RAIS KIIR WAZUA HALI YA WASIWASI MJINI JUBA

media
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika Ikulu ya rais mjini Juba, Julai 14, 2016.

Mwalimu Ashinda Kesi ya Kumtukana Mwanafunzi wa Kidato cha 6 Huko Iringa

Mahakama ya Mwanzo Iringa  Mjini imemuachia huru mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kiwele baada ya kukosa ushahidi wa kumtia hatiani katika kesi ya  kumtukana mwanafunzi.

Wednesday, October 12, 2016

Walinzi wa Chriss Brown Ndio Waliomzimia Microphone Ali Kiba Alipokuwa Jukwaani Mombasa


Tanzanian artiste Ali Kiba found himself swimming in murky waters when he appeared late for his performance at the Mombasa Rocks Festival held at the Mombasa Golf Club last Saturday. The event, which was headlined by American double platinum R&B sensation Chris Brown, saw Ali Kiba perform only two songs, Aje and Macmuga, before leaving the stage prematurely; visibly frustrated.

Samsung wawataka wateja wao kutupa ‘Galaxy Note 7’, zina tatizo la kulipuka kwenye chaji


Kufuatia ripoti za matukio mengi ya watumiaji wa simu za Samsung kulipukiwa na simu hizo wakati wa kuchaji, kampuni hiyo ya Kikorea hatimaye imewataka watumiaje wake kutupa toleo la ‘Galaxy Note 7’ kutokana na tatizo hilo.

Gari la kwanza kutengenezwa na kampuni ya Kitanzania kuzinduliwa Desemba 30, 2016

KAMPUNI ya Simba Motors imesema ina mpango wa kujenga kiwanda cha kuunganisha magari aina ya pick-up ambacho kitaanza kuzalisha magari kabla ya Desemba 30, mwaka huu.