Tuesday, September 13, 2016

Wema Sepetu Huijui Mtwara au Dharau Kwa Wanamtwara?

Wakati yuko Tanga mkwenye usiku wa vgoma alipew nafasi na MC ili azungumze machache, pamoja na mengine aliyozungumza nimekwazika sana jinsi alivyoitamka mtwara eti tukitoka hapa Tanga tunaelekea huko sijui, MAMI-MTWARA sijui huko kwa wamakonde, hivi bi mdada huyu ni kweli hajui MTWARA inatamkwaje au ni dharau yake tu kwa wanamtwara? Ukiendelea na dharau zako hizo show zako za baikoko zitakudodea!

No comments:

Post a Comment