Tuesday, September 27, 2016

Baada ya Kusimangwa Mtandaoni Kuwa Anafanya Umalaya Mrembo Tunda Apima Ukimwi na Kuonesha Majibu Hadharani


Mrembo wa Nguvu na Mcheza Video Tunda amechukua maamuzi magumu ya kwenda kupima ngoma na kutundika majibu yake mtandaoni baada ya baadhi ya wadau hasa kutoka Instagram kumsema kuwa anafanya umalaya kutokana na muda wote kupiga picha akiwa kwenye mahoteli makubwa akila bata za nguvu na hana kazi maalum ya kufanya mjini hapa.....

Nimekuwekea majibu yake hapa chini:


No comments:

Post a Comment