Wednesday, September 21, 2016

MAJALIWA AMJULIA HALI MZEE SAMWEL SITTA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika Mstaafu, Samwel Sitta na mkewe Margaret wakati alipomjulia hali jijini Dar es salaam Septemba 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) (P.T)

No comments:

Post a Comment