VIDEO MPYA: Baada ya Mabawa, hii hapa nyingine kutoka kwa Msami
Baada ya hit song yake ya mabawa ambayo imefanya vizuri kwenye radio na Tv stations mbalimbali mkali kutoka bongoflevani Msami baby amekuja ni hii video mpya ya wimbo wake wa “Step by step” na anatukaribisha kuiangalia mtu wangu.
No comments:
Post a Comment