Thursday, September 29, 2016

Agness Masogange Aamua Kupima Ukimwi na Kutuonyesha Kukata Mzizi wa Fitina





Baada ya Mrembo Tunda kuanika Majibu yake ya Ngoma tukayaona...Agnes Masogange nayeye awafunga midomo walikuwa wakimsema ana Ugonjwa...Aanika wazi majibu yake.
.imethibishwa kuwa Hana HIV...je ukipata nafasi utamshauri nini? ?? Tia neno kwako

No comments:

Post a Comment