Ali Kiba ni miongoni mwa wasanii wa kimataifa kutoka Afrika Mashariki anayependekezwa kufanya show kwenye majukwa makubwa Duniani.
Verified Twitter accout ta MTV BASE East Africa imeripoti ujio wa Collabo ya Baraka Da Prince na Ali Kiba na Kuhusu Upigwaji wa kura za msanii gani afanye show kwenye Tuzo za MAMA [Mtv Africa Music Awards] mwaka huu
No comments:
Post a Comment