Monday, September 19, 2016

Umeziona Tweets za utani za mastaa wa Bongo juu ya mechi za leo?


Nje ya kazi zao za sanaa kuna maisha ya kawaida yanayoendelea huko mtaani, leo watu maarufu wakiwemo wasanii wa muziki wa Bongo Flava waliingia Twitter na kuanza kutaniana juu ya matokeo ya mechi za Premier League zilizochezwa kwenye viwanja mbalimbali huko Ulaya.
Hizi ni kati ya Tweets za mastaa waliokuwa wakitaniana kuhusu matokeo ya mechi kati ya Manchester United na Watford iliyoisha kwa kushuhudia Man U wakichapwa goli 3 – 1.




No comments:

Post a Comment