Usiku wa Septemba 20 2016 michuano ya Kombe la EFL iliendelea tena England kwa michezo 7 kupigwa katika viwanja mbalimbali, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England walicheza dhidi ya Chelsea na kukubali kipigo cha goli 4-2 licha ya kuwa hadi dakika 45 za kwanza walikuwa mbele wao kwa goli 2-0.
#JOM_THEFUTUREUPDATES LiveMatch FullTime #Leicester 2 (Okazaki 17' 34') - 4 #Chelsea (Cahill 45' Azipilicueta 50' Fabregas 91'94') #EFL
No comments:
Post a Comment