Saturday, September 17, 2016

Rekodi 10 za kuvutia katika soka


Mtu wangu  mwenye love na mchezo wa soka leo Septemba 16 2016 naomba nikusogezee video ya rekodi za magoli 10 ya kuvutia katika soka, haya ni magoli ambayo nadra sana kushuhudia yakifungwa katika mchezo wa soka.

No comments:

Post a Comment