Monday, September 19, 2016

Mchezaji wa Timu ya Serengeti Boys Mohamed Rashid Abdalla akikokota mpira mbele ya wachezaji wa timu ya taifa ya Congo Brazaville katika mchezo wa kuwani kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana liofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, mpira umekwisha timu ya Serengeti Boys imeshinda  magoli 3-1 dhidi ya Congo Brazaville yaliyofungwa na mchezaji Yohana Mkomola katika dakika za 40 na 42. goli la tatu la Serengeti Boys limefungwa na Issa Makamba aliyeingia kipindi cha pili huku Congo Brazaville wakipata magoli mawili.

Mchezaji wa timu ya Serengeti Boys Israel Mwenda akiruka juu juu na mchezaji wa Congo Brazaville Moundza Prince wakati mchezo huo ukiendelea kwenye uwanja wa Taifa jioni hii.

No comments:

Post a Comment