Sunday, December 18, 2016
Monday, December 5, 2016
Sunday, November 27, 2016
Saturday, November 26, 2016
Tuesday, November 22, 2016
Sunday, November 13, 2016
Hotuba ya Waziri Mkuu ya kuahirisha mkutano wa tano wa Bunge la 11 Novemba 11
1. Mheshimiwa Spika, awali ya yote, naomba kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda na kutufikisha salama siku ya leo tunapohitimisha Mkutano wa Tano wa Bunge lako Tukufu tuliouanza tarehe 1 Novemba, 2016.
Saturday, November 12, 2016
Thursday, November 10, 2016
Kauli ya Mkhitaryan kuhusu kupewa nafasi ndogo na Mourinho
Kiungo wa kimataifa wa Armenia aliyejiunga na Man United msimu huu akitokeaBorussia Dortmund ya Ujerumani Henrikh Mkhitaryan amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kutopata nafasi ya kutosha kuitumikia Man United.
Wednesday, November 9, 2016
Inawezekana Sanchez akawa nje ya uwanja kufuatia taarifa hizi By Rama Mwelondo TZA
Staa wa Arsenal Alex Sanchez aliungana na wachezaji wenzake wa timu ya yao ya taifa ya Chile jana November 7 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu kucheza kombe la dunia 2018 dhidi ya Colombia.
Tuesday, November 8, 2016
Anachokijua kocha Lwandamina kuhusu soka la bongo
Taarifa kutoka katika mitandao ya Zambia leo November 8 2016 ni kuhusiana na aliyekuwa kocha mkuu wa Zesco United George Lwandamina kujiuzulu nafasi hiyo ambapo mkataba wake ungemalizika January 2017, kitendo hicho kinadaiwa ni dalilia za kujiunga na Yanga.
TB JOSHUA ATABIRI BI CLINTON ATASHINDA URAIS MAREKANI
Muhubiri TB Joshua amesema kuwa Bi Clinton atashinda kwa ushindi mdogo dhidi ya mpinzani wake
Muhubiri maarufu wa vipindi vya Televisheni nchini Nigeria TB Joshua amesema ametabiri " kwamba Hillary Clinton atamshinda Donald Trump" katika uchaguzi wa urais wenye ushindani mkali tarehe 8 Novemba mwaka huu.
Sunday, November 6, 2016
Bunge Lapitisha Rasmi Muswada Wa Sheria Ya Huduma Za Habari Wa 2016
Na Jacquiline Mrisho na Eleuteri Mangi – MAELEZO, Dodoma.
Mkutano wa Tano wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 ambapo hatua inayofuata ni kuridhiwa na kusainiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili uwe Sheria kamili ya nchi.
Bunge Lapitisha Rasmi Muswada Wa Sheria Ya Huduma Za Habari Wa 2016
Na Jacquiline Mrisho na Eleuteri Mangi – MAELEZO, Dodoma.
Mkutano wa Tano wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 ambapo hatua inayofuata ni kuridhiwa na kusainiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili uwe Sheria kamili ya nchi.
Friday, November 4, 2016
Magazeti ya Tanzania November 4, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
November 4 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Udaku, Hardnews na Michezo ili uje kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, Twitter na Instagram @jom_thefuture ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia
Walimu Watatu Watiwa Mbaroni Kwa Kuwazuia Wanafunzi Kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne
POLISI mkoani Dodoma inawashikilia walimu watatu wa shule za sekondari kwa tuhuma ya kuwazuia wanafunzi wa kidato cha nne, kufanya Mtihani wa Taifa.
Thursday, November 3, 2016
Tuesday, November 1, 2016
Wema Sepetu Amuandikia Ujumbe Miss Tanzania Mpya
Rapper Mabeste amefunga ndoa
Msanii wa Bongofleva William Ngowi ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la Mabesteameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu na mzazi mwenzake Liser Fickensher, Mabeste amefunga ndoa mpenzi wake huyo ambaye pia ni mama wa mtoto wake Kendrick.
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Yatoa Siku 90 Kwa Waliokosa Mikopo Kukata Rufaa
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza siku 90 kuanzia leo (Jumatatu, Oktoba 31, 2016) kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kukata rufaa kwa njia ya mtandao ikiwa hawajaridhsihwa na matokeo ya upangaji uliotangazwa hivi karibuni.
Monday, October 31, 2016
Rais Magufuli kufanya ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Kenya Kuanzia Kesho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 31 Oktoba, 2016 ataanza ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Kenya kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta.
Sunday, October 30, 2016
Magoli 17 yaliofungwa katika mechi za Liverpool, Man City, Arsenal na Tottenham Oct 29
Ligi Kuu England imepigwa leo michezo 7 katika ardhi ya England, tumeshuhudia baadhi ya timu zikichukua point zao tatu, wakati Man United wakiwa katika uwanja wao wa Old Trafford wameshinda kupata matokeo dhidi ya Burnley na kulazimishwa suluhu ya 0-0.
MUHIMU: HAYA HAPA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO CHUO KIKUU UDOM 2016/2017
Inatakiwa uangalie kwa umakini maana Kuna Sheets 8 za Excel ..
CONTROL, CES..COED..CHS
CONTROL, CES..COED..CHS
CHSS..CBL..CIVE...CNMS
KUTAZAMA MAJINA YOTE
>>>>BONYEZA HAPA<<<<
Saturday, October 29, 2016
Mr Blue Ataja Jina Analotumia Baada ya ‘Simba’ Kupokonywa
Mr Blue amelitaja jina lake jipya analolitumia baada ya lile la ‘Simba’ kuchukuliwa na Diamond Platnumz.
AZAM FC... TUTAPELEKA MAUMIVU TENA LEO KWA KAGERA SUGAR,POINTI TATU MUHIMU KWETU
Na.jom_thefuture
Timu ya Azam FC inatarajia kutupa karata yake ya kwanza muhimu kwa kucheza na Kagera Sugar Leo mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara utakaopigwa uwanja wa Kaitaba huku Kocha Mkuu Zeben Hernandez ametamba kuwa watakuwa na kazi moja tu ya kusaka alama tatu katika kipute hicho.
Sumaye: Sirudi CCM hata waninyang’anye Mashamba Yangu Yote
Siku moja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kutangaza nia ya Serikali kumnyang’anya shamba Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, mwanasiasa huyo mkongwe amedai hilo halimtikisi.
Thursday, October 27, 2016
Mourinho kalipa kisasi kwa Guardiola
September 10 2016 ilikuwa siku ya kihistoria kwa makocha waliokuwa na upinzani tokea wakiwa katika Ligi Kuu Hispania Jose Mourinho na Pep Guardiola, wakati huo walikuwa wanakutana kwa mara ya kwanza wakiwa wanafundisha vilabu pinzani vya Ligi Kuu England Man United na Man City.
Taarifa Kwa Umma Kuhusu Bodi Ya Mikopo Ya Wanafunzi Wa Elimu Ya Juu
Baada ya kukamilisha zoezi la Uchambuzi wa maombi ya Mikopo88,163 yaliyopokelewa hadi kufikia tarehe 11 Agosti, 2016. Jumla ya Wanafunzi wapya 20,183 wamepangiwa Mikopo. Upangaji huu umezingatia vigezo vilivyomo katika mwongozo wa utoaji wa mikopo uliopitishwa na Bodi ya wakurgezi na kuidhinishwa na wizaya ya elimu sayannsi na teknoloji. Vigezo hivyo ni pamoja na:
Tuesday, October 25, 2016
Huyu ndio CEO wa Yanga kutoka Ufaransa
Ukiachana na headlines za uongozi wa klabu ya Yanga kudaiwa kumleta kocha mpya katika klabu hiyo George Lwandamina kutoka Zesco United ya Zambia taarifa mpya zimetoka Yanga wamemteua mfaransa Jerome Dufourg kuwa afisa mtendaji mkuu wao(CEO).
Sunday, October 23, 2016
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu aongoza matembezi ya pamoja ya maofisa na askari wa vyeo mbalimbali
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu (watatu kulia) akiwaongoza maofisa na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi kufanya mazoezi ya viungo mara baada ya kumaliza matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano mahala pakazi katika mkoa wa kipolisi wa Kindondoni mapema leo asubuhi. (Picha zote na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi)
Saturday, October 22, 2016
Alichosema Rais Magufuli kuhusu mikopo ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema Serikali imetenga Shilingi Bilioni 483 kwa mwaka huu kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu ambapo wanafunzi zaidi ya 118,000 watanufaika.
Thursday, October 20, 2016
Wednesday, October 19, 2016
Wanafunzi UDSM Waitupia Lawama Bodi ya Mikopo
Ushindi mnono wa Real Madrid katika michuano ya UEFA Champions League
Burudani ya michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 18 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi round ya tatu, moja kati ya michezo iliyoshuhudiwa ikimalizika kwa idadi kubwa ya magoli ni mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Legia Warszawa mchezo uliochezwa katika dimba la Santiago Bernabeu.
Taarifa Muhimu: Serikali Yatangaza UHAKIKI wa Wanafunzi Wote Walioko Vyuo Vikuu Ambao Wanasoma Shahada
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inawatangazia Viongozi wa vyuo vyote vinavyotoa shahada nchini vya umma na vya binafsi kuwa kutakuwa na uhakiki wa ubora wa vyuo hivyo.
Tuesday, October 18, 2016
Jurgen Klopp kashindwa kuendeleza ubabe wake kwa Jose Mourinho
Kwa zaidi ya wiki sasa presha ya mchezo wa Ligi Kuu England kati ya Man United dhidi ya Liverpool ilikuwa ikitawala kwa mashabiki wa soka duniani kote, usiku wa October 17 katika dimba la Anfield ndio ilikuwa siku ya kumaliza ubishi wa mchezo huo, Liverpoolwaliwakaribisha Man United kucheza mchezo wao wa 193 katika historia.
Rais Magufuli aongoza mamia Ya Wananchi kumuaga Dk Masaburi
Rais John Magufuli leo ameongoza mamia ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kuuga mwili wa aliyekuwa meya wa jiji hilo, Dk Didas Masaburi aliyefariki Jumatano iliyopita na kusema Masaburi ana wake wanne au watano na watoto zaidi ya 20.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Asikitishwa Na Mwekezaji Kubadili Matumizi Ya Kiwanda Na Kukitelekeza
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Zambi kuhakikisha anadhibiti wafanyabiashara wanaonunua korosho kwa njia ya magendo na atakayekamatwa achukuliwe hatua.
Monday, October 17, 2016
Jackline wolper kuhusu wanaosema ana mimba ya miezi mitatu…
Ni October 17 2016 ambapo msanii kutoka kwenye tasnia ya Filamu Jackline Wolper aliingia kwenye kikaango cha mashabiki wake baada ya kupost picha ikionesha ana ujauzito huku wengi wakiwa na maswali tofauti.
Bodi Ya Mikopo Yapitisha Majina 7904 Ya Wanafunzi Waliopata Mkopo
Diamond na Harmonize Washinda tuzo za AFRIMMA2016....Orodha kamili ya washindi ipo hapa
Utoaji wa tuzo za AFRIMMA kwa mwaka 2016 umefanyika Dallas, Marekani huku watanzania watatu, Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D Ommy wakiibuka na tuzo kila mmoja akipata tuzo moja.
WAZIRI MKUU AAGIZA MAPATO YA HOSPITALI YA NACHINGWEA YAKUSANYWE KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea, Bw. Bakari Mohammed kuhakikisha hospitali ya wilaya hiyo inakusanya mapato kwa kutumia mfumo wa kielektroniki.
Subscribe to:
Posts (Atom)