Sunday, November 27, 2016
Saturday, November 26, 2016
Tuesday, November 22, 2016
Sunday, November 13, 2016
Hotuba ya Waziri Mkuu ya kuahirisha mkutano wa tano wa Bunge la 11 Novemba 11
1. Mheshimiwa Spika, awali ya yote, naomba kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda na kutufikisha salama siku ya leo tunapohitimisha Mkutano wa Tano wa Bunge lako Tukufu tuliouanza tarehe 1 Novemba, 2016.
Saturday, November 12, 2016
Thursday, November 10, 2016
Kauli ya Mkhitaryan kuhusu kupewa nafasi ndogo na Mourinho
Kiungo wa kimataifa wa Armenia aliyejiunga na Man United msimu huu akitokeaBorussia Dortmund ya Ujerumani Henrikh Mkhitaryan amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kutopata nafasi ya kutosha kuitumikia Man United.
Wednesday, November 9, 2016
Inawezekana Sanchez akawa nje ya uwanja kufuatia taarifa hizi By Rama Mwelondo TZA
Staa wa Arsenal Alex Sanchez aliungana na wachezaji wenzake wa timu ya yao ya taifa ya Chile jana November 7 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu kucheza kombe la dunia 2018 dhidi ya Colombia.
Tuesday, November 8, 2016
Anachokijua kocha Lwandamina kuhusu soka la bongo
Taarifa kutoka katika mitandao ya Zambia leo November 8 2016 ni kuhusiana na aliyekuwa kocha mkuu wa Zesco United George Lwandamina kujiuzulu nafasi hiyo ambapo mkataba wake ungemalizika January 2017, kitendo hicho kinadaiwa ni dalilia za kujiunga na Yanga.
TB JOSHUA ATABIRI BI CLINTON ATASHINDA URAIS MAREKANI
Muhubiri TB Joshua amesema kuwa Bi Clinton atashinda kwa ushindi mdogo dhidi ya mpinzani wake
Muhubiri maarufu wa vipindi vya Televisheni nchini Nigeria TB Joshua amesema ametabiri " kwamba Hillary Clinton atamshinda Donald Trump" katika uchaguzi wa urais wenye ushindani mkali tarehe 8 Novemba mwaka huu.
Sunday, November 6, 2016
Bunge Lapitisha Rasmi Muswada Wa Sheria Ya Huduma Za Habari Wa 2016
Na Jacquiline Mrisho na Eleuteri Mangi – MAELEZO, Dodoma.
Mkutano wa Tano wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 ambapo hatua inayofuata ni kuridhiwa na kusainiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili uwe Sheria kamili ya nchi.
Bunge Lapitisha Rasmi Muswada Wa Sheria Ya Huduma Za Habari Wa 2016
Na Jacquiline Mrisho na Eleuteri Mangi – MAELEZO, Dodoma.
Mkutano wa Tano wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 ambapo hatua inayofuata ni kuridhiwa na kusainiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili uwe Sheria kamili ya nchi.
Friday, November 4, 2016
Magazeti ya Tanzania November 4, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
November 4 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Udaku, Hardnews na Michezo ili uje kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, Twitter na Instagram @jom_thefuture ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia
Walimu Watatu Watiwa Mbaroni Kwa Kuwazuia Wanafunzi Kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne
POLISI mkoani Dodoma inawashikilia walimu watatu wa shule za sekondari kwa tuhuma ya kuwazuia wanafunzi wa kidato cha nne, kufanya Mtihani wa Taifa.
Thursday, November 3, 2016
Tuesday, November 1, 2016
Wema Sepetu Amuandikia Ujumbe Miss Tanzania Mpya
Rapper Mabeste amefunga ndoa
Msanii wa Bongofleva William Ngowi ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la Mabesteameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu na mzazi mwenzake Liser Fickensher, Mabeste amefunga ndoa mpenzi wake huyo ambaye pia ni mama wa mtoto wake Kendrick.
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Yatoa Siku 90 Kwa Waliokosa Mikopo Kukata Rufaa
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza siku 90 kuanzia leo (Jumatatu, Oktoba 31, 2016) kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kukata rufaa kwa njia ya mtandao ikiwa hawajaridhsihwa na matokeo ya upangaji uliotangazwa hivi karibuni.
Subscribe to:
Posts (Atom)