Wednesday, October 12, 2016
Bakhresa Kujenga Viwanda Zaidi Vya Matunda, Vyakula.
KAMPUNI ya Bakhresa Foods imedhamiria kuongeza viwanda vingine vya usindikaji matunda hapa nchini ili kuongeza thamani kwa mazao ya wakulima.
Tuesday, October 11, 2016
Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi uwepo wa Dawa nchini
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa katika baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na mitandao ya kijamii vikizungumzia hali ya dawa nchini hasa kufuatia taarifa zilizotolewa na taasisi ya kiraia na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa.
Sunday, October 9, 2016
Bodi ya Mikopo (HESLB ) Yasitisha Mikopo Ya Walimu Wanafunzi Waliompiga Mwanafunzi Mbeya
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inautaarifu umma kuwa imesitisha mikopo ya elimu ya juu iliyokuwa ikitolewa kwa walimu-wanafunzi wanne waliosimamishwa masomo kwa kuhusika katika tukio la kumshambulia na kumuumiza mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mbeya. Walimu hao walikuwa katika mafunzo ya vitendo.
Saturday, October 8, 2016 UPDATED!: List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017
Kuona Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Chuo Kikuu 2016/2017,
==>Chuo Cha Hurbert Kairuki <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Kikuu Muhimbili <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Kikuu TIA <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Kikuu Mzumbe <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha Mwenge <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha IFM-mwanza <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha Stefano Moshi <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha Saut-mwanza <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha Eckern Ford <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha Jordan-moro <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha KIU(Second Round) <<bonyeza Hapa>>.
==>Chuo Kikuu Muhimbili <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Kikuu TIA <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Kikuu Mzumbe <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha Mwenge <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha IFM-mwanza <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha Stefano Moshi <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha Saut-mwanza <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha Eckern Ford <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha Jordan-moro <<bonyeza Hapa>>
==>Chuo Cha KIU(Second Round) <<bonyeza Hapa>>.
Subscribe to:
Posts (Atom)



