Friday, September 30, 2016

Utafiti Twaweza: Nchi Haiongozwi Kidikteta

Asilimia 58 ya Watanzania wamepinga kauli za baadhi ya wanasiasa kuwa Rais John Magufuli anaendesha nchi kidikteta huku asilimia 31 imesema haina uhakika na jambo hilo.

UPDATED!: List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017


Kuona Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Chuo Kikuu 2016/2017,
 
 ==>Chuo Kikuu Saut-arusha     <<bonyeza Hapa>>
 
==>Chuo Cha MUM-Morogoro(2nd Round)   <<bonyeza Hapa>>

==>Chuo Cha Ushirika-moshi MUCCOBS(MoCU)   <<bonyeza Hapa>>

==>Chuo Cha Maji-ubungo    <<bonyeza Hapa>>

==>Chuo Cha Tumaini- Dar  << bonyeza Hapa>>

==>Chuo Kikuu Ardhi    <<bonyeza Hapa>>

==>Chuo Kikuu Sekomu     <<bonyeza Hapa>>

==>Chuo Cha Mweka-moshi      <<bonyeza Hapa>>

 ==> 
Chuo Kikuu St. John's Dodoma    <<Bonyeza  Hapa>>

==> Chuo cha Tax Management- ITA  <<Bonyeza Hapa>>

==> Chuo Kikuu Huria -OUT  <<Bonyeza Hapa>>
 
==> TEKU     <<Bonyeza Hapa>>
 
 ==>Chuo Kikuu Ruaha    <<Bonyeza Hapa>>
 
==> Chuo Kikuu Iringa    << Bonyeza Hapa>>
 
==> Chuo kikuu Bugando  <<Bonyeza Hapa>>
 
==>Chuo  Kikuu Cha Mwalimu Nyerere   <<bonyeza Hapa>> 

==>Chuo  Kikuu Cha  Udsm,duce Na Muce   <<bonyeza Hapa>> 

==>Chuo  Kikuu Cha  Tumaini Makumira    <<Bonyeza Hapa>>   

==>Chuo  Kikuu Cha Udom  <<bonyeza Hapa>>

 ==>Chuo  Kikuu Cha Ifm <<bonyeza Hapa>>

==>Chuo Kikuu Marian << Bonyeza Hapa>>

 ==>Chuo Kikuu Cbe        << Bonyeza Hapa>>

==>Tumaini-mbeya     << Bonyeza Hapa>> & <<hapa>>

 ==>Chuo Kikuu Mum         << Bonyeza Hapa>>

==>Chuo Mum(Diploma) <<Bonyeza Hapa>>

 ==>Chuo- Stella Maris   << Bonyeza Hapa>>

 ==>Chuo- Kampala-kiu  << Bonyeza Hapa>>

INSTAGRAM: Nilishakata tamaa, Ujumbe wa Rayvanny kwa Diamond Platnumz

Ni mwimbaji  staa wa bongofleva, Rayvanny kutoka WCB ambaye ngoma yake ya kwanza kuiachia toka yuko chini ya lebo ya WCB aliiachia ‘kwetu April 2016, ameingia kwenye headlines leo September 30 2016 baada ya kufunguka kuhusu DiamondPlatnumz kwenye instagram yake kama kutoa shukrani kwa staa huyo ambae yuko chini ya lebo yake.

Hatimae Man United wapata ushindi wa kwanza Europa League

TIGO YAWAKUMBUKA WAHANGA WA TETEMEKO MKOANI KAGERA KWA KUTOA SARUJI MIFUKO 2424

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Salum Kijuu(kushoto) akipokea sehemu ya mifuko ya saruji 2424 yenye thamani ya Sh 40 Milioni kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya ziwa Ali Mswanya,kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.

ZAIDI YA 100 WAJERUHIWA KWENYE AJALI YA TRENI MAREKANI

zaidi ya watu 100 wamejeruhiwa na wengine kukwama.
Zaidi ya watu 100 wamejeruhiwa na wengine kukwama.
Treni moja imegonga kituo cha reli kwenye mji wa Hoboken ulio jimbo la New Jersey nchini Marekani
Idara inayohusika na huduma za dharura jimba la New Jersey inaripoti kuwa mmoja ameuawa na zaidi ya 100 kujeruhiwa .

MAKUBWA HAYA: " MKUTANO WA CUF ZANZIBAR NI KAMA KIKAO CHA HARUSI"- PROF. LIPUMBA

Akiongea na waandishi wa habari ofisi kuu ya CUF Buguruni Mwenyekiti wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba ameuita mkutano wa CUF uliofanyika Zanzibar kama ''kikao cha harusi'' kwani haukufuata katiba, alitoa hoja zifuatazo;
Anamtaka Maalim Seif aje Dar kumletea taarifa za utendaji wa chama kwani yeye ndiye mwenyekiti halali.

Thursday, September 29, 2016

Kupatwa Kwa Mrembo Huddah: Azama Kimapenzi Kwa Mchagga!


Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu (Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa akijilinda lakini sasa amefika bei kwa Mkaka huyo Handsome
Tazama Picha ya mwanaume huyo hapa:

Agness Masogange Aamua Kupima Ukimwi na Kutuonyesha Kukata Mzizi wa Fitina





Baada ya Mrembo Tunda kuanika Majibu yake ya Ngoma tukayaona...Agnes Masogange nayeye awafunga midomo walikuwa wakimsema ana Ugonjwa...Aanika wazi majibu yake.

SHIMON PERES AMEAGA DUNIA

Rais wa zamani wa Israel Shimon Perez ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 93. Peres ambaye hadithi ya maisha yake iliandamana na kuzaliwa kwa taifa la kiyahudi alifariki mapema leo katika hospitali mmoja mjini Tel Aviv
Mwanawe wa kiume Chemi, alithibitisha kifo cha babake kwa wanahabari waliokusanyika nje ya hospitali ambayo Shimon Peres amekuwa akitibiwa kwa wiki mbili zilizopita. Hali ya Peres ilizorota kufuatia ugonjwa wa kiharusi wiki mbili zilizopita, uliosababisha kuvuja damu kwenye ubongo. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitoa taarifa akiomboleza kifo cha Peres.

TANO BORA ZA MFICHONI BLOG KWENYE KATUNI ZA LEO...



MAGAZETI YA LEO ALHAMISI



KUMI BORA ZA MFICHONI BLOG KURASA ZA NDANI MAGAZETINI LEO

1

Wednesday, September 28, 2016

Feza Kessy katuletea hii video yake mpya ‘Walete’

Mrembo pamoja na mtangazaji wa radio ambaye pia aliwahi kushiriki shindano la  Big Brother Africa 2013 Feza Kessy, na msanii wa bongofleva amekuja na hii video nyingine ya wimbo wake  unaoitwa Walete, ambayo amefanya na video director Hanscana. Feza anatukaribisha kuitazama mtu wangu.

KUMI BORA ZA MFICHONI BLOG KURASA ZA NDANI MAGAZETINI LEO JUMA TANO


MAGAZETI YA LEO JUMATANO

magazeti mengine haya apa.

Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es salaam Degree-2016/2017



The following applicants have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2016/2017 academic year. 

The selected applicants should report at the Mwl. J.K. Nyerere Mlimani Campus on Saturday 8th October 2016 for the orientation week which will start on Monday 10th October 2016. 

Baada ya kuzushiwa kifo, Bilionea Dangote ameyaandika haya

Bilionea namba moja barani Afrika, Aliko Dangote amekanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki dunia akiwa nchini Ujerumani.

Prof. Lipumba Augomea mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi CUF


Mgogoro  ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) bado unafukuta ambapo jana Prof. Ibrahim Lipumba, aligomea mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho ulioitishwa leo visiwani Zanzibar.

Aunty Ezekiel Azidi Kushambuliwa Baada ya Kutokea Kwenye Birthday ya Zari...Ona Huyu Alivyomchana



Naona Watu bado hawajamuelewa Aunty Ezekiel Kuhudhuria sherehe ya Birthday ya Zari Japo jana aliwapa mchambo wa nguvu......

Ona huyo alivyomjibu Aunty Ezekiel.

DC KONGWA AMTUMBUA MENEJA WA MAMLAKA YA MAJI

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deogratius Ndejembi akizungumza wakati wa kikao cha Kumng’oa Meneja wa Mamlaka ya Maji safi na salama Wilyani humo

Tuesday, September 27, 2016

VIDEO MPYA: Baada ya Mabawa, hii hapa nyingine kutoka kwa Msami

Baada ya hit song yake ya mabawa ambayo imefanya vizuri kwenye radio na Tv stations mbalimbali  mkali kutoka bongoflevani Msami baby amekuja ni hii video mpya ya wimbo wake wa “Step by step” na anatukaribisha kuiangalia  mtu wangu.

Pamoja na Drama Zote Alizompa Sugu...FAIZA Ally Anampenda Mbunge Sugu Kupindukia...Soma Alichoandika Hapa

Msanii wa filamu, Faiza Ally wakati inaelekea siku ya birthday ya mtoto wake Sasha, amefunguka na kueleza yamoyoni juu ya baba watoto wake, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’.
Sugu na Faiza
Mwigizaji huyo ambaye anajipanga kuachia filamu yake mpya ‘Baby Mama Drama’ amesema ataendelea kumpenda Mh Sugu kwa kuwa bila yeye asingekuwa mama kwa sasa.

Baada ya Kusimangwa Mtandaoni Kuwa Anafanya Umalaya Mrembo Tunda Apima Ukimwi na Kuonesha Majibu Hadharani


Mrembo wa Nguvu na Mcheza Video Tunda amechukua maamuzi magumu ya kwenda kupima ngoma na kutundika majibu yake mtandaoni baada ya baadhi ya wadau hasa kutoka Instagram kumsema kuwa anafanya umalaya kutokana na muda wote kupiga picha akiwa kwenye mahoteli makubwa akila bata za nguvu na hana kazi maalum ya kufanya mjini hapa.....

Aunty Ezekiel Akerwa na Wanaosema ni Snitch na Anajipendekeza Kwa Zari...Atokwa na Povu na Kusema Haya

Anti Ezekiel Awashuki wanaosema anajipendekeza kwa Zari ・・・
 #Regrann from #auntyezekiel - Naitwa Aunty Ezekiel Grayson jujuman Ukipenda ...Mama Cookie Mnyakyusa hasilia ...Sasa bac Nataka niwaambie kitu kimoja mana kujibu .

MAGAZETI YA LEO JUMANNE

KUMI BORA ZA MFICHONI BLOG KURASA ZA NDANI MAGAZETINI LEO

1

TAARIFA YA IKULU KUHUSU RAIS DKT. MAGUFULI KUTEMBELEA BANDARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisisitiza jambo katika c chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner) inayoingia nchini kwenye bandari ya Dar es salaam jana Septemba 27, 2016

UCHAGUZI WA WABUNGE SOMALIA WAAHIRISHWA

Wabunge wanastahili kuchaguliwa ndio nao wamchagua rais
Wabunge wanastahili kuchaguliwa ndio nao wamchagua rais
Mchakato wa kuchagua bunge jipya nchini Somalia umeahirishwa.
Takriban wajumbe 14,000 walistahili kuchagua bunge la juu na la chini mwishoni mwa wiki lakini hata hivyo hakuna kura iliyopigwa.

SUMATRA KUPAMBANA NA WACHAFUZI WA MAZINGIRA YA BAHARI

 Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi kavu na majini  (Sumatra) Captain Mussa Mandia, katikati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tanga jana  kuzungumzia mpango wa maalumu wa kupambana na uchafuzi wa mazingira baharini, kushoto ni Meneja Mawasiliamo wa Sumatra,David Mzirai kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar(ZMA) Suleiman Masoud

‘PANYA ROAD’ WAIBUKA UPYA NA KUTESA WANANCHI MOSHI BAA JIJINI DAR

Na Dotto Mwaibale
KUNDI la uhalifu la watoto wenye umri kuanzia miaka 18 hadi 25 maarufu kama panya road linatishia usalama wa wananchi na mali zao maeneo ya Moshi Baa na vitongoji vingine katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU WA OFISI YA TAMISEMI DKT. ZAINABU CHAULA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Zainabu Chaula kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Ikulu jijini Dar es Salaam.

Sunday, September 25, 2016

Baada ya mechi 9 dhidi ya Chelsea, Arsenal ndio kapata ushindi wa kwanza

Usiku wa Septemba 24 2016 jiji la London lilikuwa busy kwa upande wa mashabiki wa soka kwani mashabiki wa timu kubwa za Arsenal na Chelsea walikuwa busy kufuatilia mchezo dhidi ya vilabu vyao ambavyo vyote vinatokea ndani ya jiji la London.

Tox Star Ft. Barnaba (Official Video) – Chillax | Mp4 Download


Vanessa Mdee Aeleza Collabo Yake na Trey Songz….

Ni Headlines za Vanessa Mdee ambae amekuwa ni moja kati ya wasanii wa Africa waliochaguliwa kurekodi wimbo na mshindi wa Grammy na mwimbaji wa RNB nchini Marekani, Trey Songz kupitia msimu wa 4 kipindi cha Coke Studio Africa.

More Romantic Pics of Diamond Platnumz and Zari ’The Boslady’ in Zanzibar

Diamond Platnumz In Zanzibar! It is the Weekend for Zari 'the bosslady', The Couple have shown the real love as they enjoying their vacation in Zanzibar Town, These are romantic pics of them in Zari weekend in Zanzibar;

Mtu Anayefanana na Mchezaji Zlatan Ibrahimovic Avamia Uwanjani Kwa Nguvu Kutaka Kumsalimia Zlatan Original

Mtu mmoja ambaye anafanana na Zlatan Ibrahimovic ameibuka uwanjani kwa kuwalaghai walinzi na kwenda hadi alipokuwa Zlatan mwenyewe wakati akiitumikia timu yake dhidi ya Leicester City.

Saturday, September 24, 2016

Mechi atakazozikosa Lionel Messi baada ya kupata majeraha

Usiku wa Septemba 21 Ligi Kuu Hispania iliendelea kama kawaida kwa michezo kadhaa kupigwa, lakini moja kati ya michezo iliyochezwa ni pamoja na mchezo kati ya FC Barcelona dhidi ya Atletico Madrid uliomalizika kwa sare ya goli 1-1.

WEMA Sepetu Akunwa na Wimbo wa Diamond 'Salome' Ajirekodi Akiimba, Diamond Asema Haya


Malkia wa filamu Wema Sepetu amekunwa na wimbo mpya wa Diamond Platnumz ‘Salome’ na kuamua kujirekodi video huku akiimba wimbo huo.

Wimbo Mpya wa Ruby Kijembe kwa Mawingu na Ruge? Usikilize Hapa


Nimeusikia kwa mara ya kwanza wimbo wa mwanadada Ruby baada ya kujitoa katika matamasha ya Fiesta. Wimbo unaitwa Wale Wale, mwadada kama kawa kaimba poa sana wimbo unamelody kali sana yaani zile zinaitwaga "Catch Melodies".

Lakini maudhui ya wimbo ukiyasikiliza vizuri naona kama katupa jiwe kwa Clouds na Bwana Mutahaba. Embu Fanya Kuusikiliza Hapa....Siku hizi Mwendo wakutupa mawe Gizani tuuuuu 

Polisi Wataovaa Nusu Uchi au Mlegezo Kwa Askari wa Kiume Kuchuliwa Hatua Kali


Picha:Polis Kutoka Kenya Linda Okele Akiwa na vazi la Kubana Mwili lililozua Gumzo Nchini Huko
Naibu Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Abrahman Kaniki amewaagiza makamanda na maofisa waandamizi wa jeshi wa mikoa yote kuhakikisha wanasimamia nidhamu ya uvaaji kwa askari wa kike na kiume na watakaokutwa wamevaa sare zinazoonyesha sehemu za miili yao watachukuliwa hatua.

Nay wa Mitego Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Toka Shamsa Ford Kuelewa na Mwanaume Mwingine...Adai Alimwambia Anaenda Kuolewa


Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Nay Wa Mitego amesema Shamsa ni ‘wife material’ hivyo anamtabiria kudumu katika ndoa yake.

KUMI BORA ZA MFICHONI BLOG KURASA ZA NDANI MAGAZETINI LEO

1
2

URUSI NA MAREKANI ZASHINDWA KUKUBALIANA KUHUSU SYRIA

Nchi hizo zimeshindwa kufikia muafaka juu ya namna ya kufufua makubaliano ya kusitisha mapigano Syria. Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, John Kerry, sasa aelekea kukata tamaa kuhusu amani kurejea.
Hayo yamejitokeza katika Syria mkutano ambao mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika mzozo wa Syria Stefan de Mistura ameuita wenye machungu, mgumu na wenye kukatisha tamaa.

MAJALIWA AIPA SIKU 10 TAASISI YA HIFADHI YA BAHARI KULIPA DENI LA SH. MILIONI 100

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa muda wa siku 10 kwa Taasisi ya Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu kulipa deni la sh. milioni 100 inayodaiwa na Halmashauri ya wilaya ya Mafia.
Deni hilo linatokana na malimbikizo ya miaka mitatu ya maduhuri yatokanayo na makusanyo yanayofanywa na taasisi hiyo katika maeneo ya hifadhi ya bahari wilayani humo.